Loading...
title : YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA
link : YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA
YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA
Mwambawahabari Na Rehema Lucas,
YANGA SC imepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Shukrani kwake, mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji mpya kutoka kwa mahasimu, Simba SC, Ibrahim Hajib Migomba aliyefunga dakika ya 34 baada ya kazi nzuri ya beki wa kati, Kevin Patrick Yondan.
Beki wa kulia, Juma Abdul Mnyamani alimuanzishia kona fupi Yondan, ambaye alijitengeneza na kutia krosi maridadi iliyounganishwa nyavuni na Hajib kwa staili ya kujipinda maarufu kama baiskeli.
Hivyo makala YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA
yaani makala yote YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/yanga-moto-wa-kuotea-yaizamisha-ndanda.html
0 Response to "YANGA MOTO WA KUOTEA YAIZAMISHA NDANDA"
Post a Comment