Loading...

TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma.

Loading...
TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma.
link : TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma.

soma pia


TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika elimu (TAPIE), wakiendelea na majadiliano kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka uliofanyika kwa siku mbili mkoani Dodoma.
 WAJUMBE waliohudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Elimu (TAPIE), wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mkutano huo wa siku mbili uliofanyika mkoani Dodoma.Mwanamke pekee anayeonakana mbele ni Rais wa chama hicho, Ester Mahawe ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM).
  Rais wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika elimu (TAPIE),  Ester Mahawe akimkabidhi cheti mshiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho, Imelda Haule mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika jana mkoani Dodoma. Anayefuata pichani ni Makamu wa Rais wa TAPIE, Khalfan Swali na mshauri wa shule za Tusiime Laurent Gama.
Rais wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika elimu (TAPIE),  Ester Mahawe akimkabidhi cheti mshiriki  wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho, Mkurugenzi wa shule za Tusiime, Albert Katagira, mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika jana mkoani Dodoma. Anayefuata pichani ni Makamu wa Rais wa TAPIE, Khalfan Swali na mshauri wa shule za Tusiime Laurent Gama.


Hivyo makala TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma.

yaani makala yote TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tapie-wafanya-mkutano-mkuu-wa-mwaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAPIE wafanya Mkutano Mkuu wa mwaka Dodoma."

Post a Comment

Loading...