Loading...

Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani

Loading...
Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani
link : Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani

soma pia


Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani

Waziri wa Madini  Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PRNG Minerals Ltd, ya  Marekani, Rocky Smith na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni hiyo Lucas Stanfield ofisini kwake Jijini Dodoma. 
Watendaji hao wapo nchini kwa ziara ya kawaida ya kikazi ya siku tano  ambapo waliomba kukutana na Waziri wa Madini.
 Pamoja na mambo mengine, kampuni hiyo inakusudia kuwasilisha taarifa juu ya hali na Maendeleo ya soko la dunia kwa Madini ya Rare Earth Elements na kuzungumzia hatua iliyofikiwa kwa ombi la leseni ya  uchimbaji  Mkubwa wa madini hayo. 
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Biteko  amesema wizara iko tayari kuipokea kampuni husika nchini baada ya kukamilika kwa taratibu kwa mujibu wa sheria. 
Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu Rocky Smith, amesema kuwa, amefurahishwa na  ushirikiano unaooneshwa na wizara na kuahidi kuanza shughuli za uchimbaji mara baada ya kukamilika kwa taratibu.
 Waziri wa Madini Doto Biteko akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PRNG Minerals Ltd kutoka Marekani Rocky Smith kushoto kwa Waziri. Smith alimtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dodoma kwa mazungumzo akiwa ameambatana na Mkurungenzi wa Maendeleo wa Kampuni hiyo Lucas Stanfield wa kwanza kulia, na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa huduma za sheria Wizara ya Madini Edwin Igenge.
Waziri wa Madini Doto Biteko akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PRNG Minerals Ltd kutoka Marekani Rocky Smith kushoto kwa Waziri. Smith alimtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dodoma kwa mazungumzo, wa kwanza kushoto ni Ali Ali, Kamishna Msaidizi Uendelezaji Migodi na Madini Wizara ya


Hivyo makala Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani

yaani makala yote Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-biteko-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Biteko afanya mazungumzo na Kampuni ya PRNG Minerals ya Marekani"

Post a Comment

Loading...