Loading...
title : TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB
link : TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB
TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB
Mwambawahabari
Shirikisho la soka nchini TFF, leo Septemba 25 limesaini mkataba na benki ya KCB wenye thamani ya shilingi 325,000,000.
Akizungumza wakati wa kusaini mkataba huo Rais wa TFF Wallace Karia amesema huo ni ushahidi kuwa shirikisho lina ushirikiano na wadau mbalimbali wa mpira nchini.
Aidha Karia amesema fedha hizo zitaelekezwa kwenye kukuza vipaji vya soka pamoja na maendeleo ya soka nchini kwa ujumla.
Huu ni mkataba mkubwa wa kwanza kusainiwa na shirikisho hilo tangu uongozi mpya chini ya Rais Wallace Karia ulioingia madarakani August 12 mwaka huu.
Hivyo makala TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB
yaani makala yote TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tff-yapata-udhamini-mnono-toka-benki-ya.html
0 Response to "TFF YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA BENKI YA KCB"
Post a Comment