Loading...

TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI

Loading...
TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI
link : TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI

soma pia


TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI






Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiwa meza kuu na Viongozi wa TRA na CTI wakiongoza Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Kamishina Mkuu wa TRA, Charles Kichele, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Mkurugezni Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini, Leodger Tenga, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Mwenyekiti wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini,Dkt. Samuel Nyantahe, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Wadau wa mkutano huo wakisikiliza na kuweka kumbukumbu wakati viongozi wakiwasilisha majadiliano.







Baadhi ya waandishi wakiwa bize kuandika kinachizungumzwa ukumbini hapo


Umakini wa kusikiliza


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akipongezwa na Kamishina Mkuu wa TRA.Charles Kichele, baada ya hotuba yake.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akipongezwa na Mkurugezni Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini, Leodger Tenga baada ya kumaliza kuhutubia katika Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.

Kamishina Mkuu wa TRA, Charles Kichele, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.


Wadau wakinyoosha mikono kuuliza maswali.....

Wadau wakiuliza maswali....

Viongozi wakinakili maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau

wadau wakiuliza maswali....



Wadau wakiuliza maswali....


Kamishina mkuu wa TRA. Charles Kichele, akijibu maswali ya wadau


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akijibu maswali ya wadau




Mfanyakazi wa Kampuni ya Montage Ltd, Happy Mbuya, akipokea cheti cha shukrani kwa kufanikisha mkutano huo kutoka kwa Katibu Mkuu, Dkt.Mero.

Picha ya pamoja kwa kumbukumbu


Picha ya pamoja kwa kumbukumbu


Hivyo makala TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI

yaani makala yote TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tra-cti-wakutana-na-wadau_68.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI"

Post a Comment

Loading...