Loading...
title : UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI
link : UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI
UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Korea ya Kaskazini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Korea ya Kaskazini, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Aziz Mlima na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara hiyo Bi. Mindi Kasiga.
Mwandishi wa Habari toka kituo cha Televisheni cha Channel Ten, David Ramadhan akimuuliza swali Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (aliye kaa katikati) wakati Waziri huyo akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Korea ya Kaskazini.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
Hivyo makala UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI
yaani makala yote UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ufafanuzi-juu-ya-tuhuma-za-ushirikiano.html
0 Response to "UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KASKAZINI"
Post a Comment