Loading...
title : Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali
link : Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali
Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) " yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Taasisi ya (CNRIFFI) "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries" Bw.Huang Yutong alipokuwa akizungumza machache wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa kwa wiki mbili na Taasisi hiyo katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) " yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Wakufunzi wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu katika Taasisi ya "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)" walipokuwa wakimpongeza Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo Bw.Huang Yutong (hayupo pichani) mara baada ya kuzungumza katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa kwa wiki mbili na Taasisi hiyo katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu alipokuwa akitoa salamu zake katika ufunguzi wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)" yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Washiriki wa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja, yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)" yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Makamu wa Rais wa Taasisi ya (CNRIFFI) "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries" Bw.Huang Yutong alipokuwa akizungumza machache wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mapishi na Ukarimu katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo ,ambayo yatafanyika na kuendeshwa na Taasisi hiyo katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries(CNRIFFI) " yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali kwa Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo,ambayo yanayoendeshwa na Taasisi kutoka "China National Research Institute of Food and Fermentation Industiries (CNRIFFI)" yatakayochukua wiki mbili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Suza Kampasi ya Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 18/09/2017. [Picha na Ikulu.] 18/09/2017.
Hivyo makala Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali
yaani makala yote Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ufunguzi-wa-mafunzo-ya-upishi-na.html
0 Response to "Ufunguzi wa mafunzo ya upishi na ukarimu kwa wafanyakazi wa taasisi za serikali"
Post a Comment