Loading...

Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM

Loading...
Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM
link : Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM

soma pia


Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akipokea msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM. Anayekabidhi vifaa hivyo ni, Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Tanzania Dkt. Qassim Sufi. Vifaa hivyo vina jumuisha Kompyuta, mashine za kutolea nakala na kuchapishia vyenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu arobaini. Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa na wana habari nimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala kwa pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini Tanzania, Dkt. Qassim Sufi wakisaini nyaraka za makabidhiano ya msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika hilo, katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam leo.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akibadilishana nyaraka za makabidhiano ya msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) na Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Tanzania, Dkt. Qassim Sufi, katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam leo. Vifaa hivyo vina jumuisha Kompyuta, mashine za kutolea nakala na kuchapishia vyenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu arobaini. 
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akizungumza baada ya kupokea vifaa hivyo.


Hivyo makala Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM

yaani makala yote Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/uhamiaji-yapata-msaada-wa-vitendea-kazi_14.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uhamiaji yapata msaada wa vitendea kazi toka Shirika la IOM"

Post a Comment

Loading...