Loading...

Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi

Loading...
Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi
link : Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi

soma pia


Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amewataka wananchi kusimama imara na wasikubali kabisa kuruhusu siasa za mauji kupata nafasi nchini Tanzania.
 
Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.
 
Zitto ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa facebook mara baada ya kutokea taarifa ya kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu na watu wasiyofahamika.
 
"Nchi yetu imefungua ukurasa mpya. Wananchi tusimame imara tusikubali kabisa kuingia kwenye siasa za namna hii. Mola amponye ndugu yetu", ameandika Zitto.
 
 Mhe. Tundu Antipas Lissu amepigwa risasi kadhaa mwilini mwake akiwa nyumbani kwake Dodoma eneo la 'area D' na watu wasiojulikana. 
 


Hivyo makala Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi

yaani makala yote Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ujumbe-mzito-wa-zitto-kabwe-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujumbe mzito wa Zitto Kabwe baada ya Lissu kupigwa risasi"

Post a Comment

Loading...