Loading...
title : Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena
link : Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena
Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.
Akizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema Mbowe "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi nyumbani kwake na kwamba hali yake ni mbaya.
Lissu, ambaye ni mwanasheria mkuu wa Chadema kwa sasa amepelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.
Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari, huku wengine wakilia.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Charles Kihologwe amewataka watu hao kukaa mbali na chumba cha upasuaji lakini wengi wanakataa wakisema hawamwamini mtu yeyote.
Asubuhi, Lissu alihudhuria kikao cha Bunge na aliomba mwongozo wa Naibu Spika akihoji kuhusu taarifa za kamati zilizoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kutathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya Tanzanite na almasi kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu badala ya kujadiliwa na Bunge kwanza.

Hivyo makala Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena
yaani makala yote Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/hali-ya-lissu-ni-mbaya-sana-msishangae.html
0 Response to "Hali ya Lissu ni Mbaya sana, Msishangae kusikia Lolote Mbowe anena"
Post a Comment