Loading...

UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Loading...
UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA
link : UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

soma pia


UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Ujumbe kutoka Ofisi yaMakamu wa Rais ukiongozwa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bi Ogenia Mpanduji wakimsikiliza Mmiliki wa Mgodi wa Sambaru uliopo wilayani Ikungi Mkoani Singida, Bwana Yusuf Mwandami walipofanya ziara ya kutembelea mgodi huo.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais,Bi Magdalena Mtenga akiuliza swali kwa mmiliki wa mgodi wa sambaru uliopo Ikungi Mkoani Singida mara baada ya ujumbe toka Ofisi ya Makamu wa Rais kutembelea mgodi huo wa mwisho katika picha ni Afisa madini kanda ya Singida aliyeongozana na ujumbe huo Bi. Sofia Omary.
Mmiliki wa Mgodi mdogo wa dhahabu wa Sambaru uliopo Ikungi Bwana Yusuf Mwandami akitoa maelekezo kwa ujumbe huo juu ya mashine mbalimbalimbali zilizofungwa mgodini hapo zitakavyokua zinafanya kazi. Wa kwanza kulia ni Afisa madini kanda ya Singida aliyeongozana na ujumbe huo Bi. Sofia Omary.
Ujumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa rais ukiongozwa na Mkurugenzi wa sera na Mipango Bi Ogenia Mpanduji pamoja na Mkurugenzi Msaidizi-Mazingira Bi. Magdalena Mtenga wakipata maelezo juu ya uendeshaji wa mgodi mdogo wa dhahabu ulioko Ikungi Bwana Ahmed Magoma


Hivyo makala UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

yaani makala yote UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ujumbe-wa-ofisi-ya-makamu-wa-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA"

Post a Comment

Loading...