Loading...
title : WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
link : WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya Kituo cha Uwekezaji (TIC )na tovuti ya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika uzinduzi wa Bodi hiyo mapema hii leo, Mwijage amesema kuwa "Tunapambana kuondoa urasimu,tayari tumeanzisha kamati ya kitaifa ya kuhudumia wawekezaji na wajumbe ni taasisi zote zinazotoa huduma kwa wawekezaji, Mpaka sasa matokeo ni mazuri na tumeanza kupata ripoti za kutupongeza katika juhudi zetu za kuondoa urasimu kwenye utoaji wa vibali na leseni mbalimbalihapa nchini"
Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji (TIC),Profesa Longinus Rutasitara Bodi akizungumza mapema hii leo wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya na tivuti ya TIC jijini Dar es Salaam. Amesema kuwa Bodi yetu itatoa ushirikiano kuhakikisha majukumu ya TIC yanatimizwa ipasavyo.
Tunapambana kuondoa urasimu, tayari tumeanzisha kamati ya kitaifa ya kuhudumia wawekezaji na wajumbe ni taasisi zote zinazotoa huduma kwa wawekezaji. Mpaka sasa matokeo ni mazuri na tumeanza kupata ripoti za kutupongeza katika juhudi zetu za kuondoa urasimu kwenye utoaji wa vibali na leseni mbalimbali.
Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/waziri-mwijage-azindua-bodi-mpya-ya-tic.html
0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO."
Post a Comment