Loading...

VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

Loading...
VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.
link : VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

soma pia


VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.

Timu ya soka ya Kagera sugar imelazimisha sare ya kufungana bao 1 kwa 1 na timu ya soka ya Ruvu shooting katika mzunguko wa Ligi kuu Vodacom Tanzania bara ikiwa ni mzunguko wa kwanza tangu ligi imeanza mwezi uliopita mchezo ambao umepigwa katika uwanja wa nyumbani wa Kaitaba Bukoba Mjini.

Ligi kuu Vodacom Tanzania bara timu ya kagera sugar kwa mara ya kwanza katika mzunguko huo ulioanza August 26 kagera sugar ilifungwa na Mbao Fc ya Jijini Mwanza bao 1 kwa 0 huku Ruvu shooting  ikifungua Dimba vibaya kwa kupigwa na timu ya Simba Sc bao 7 kwa 0 ambapo timu zote mpaka sasa  zina Alama sawa ya  moja moja.

Katika mchezo huo ulichezeshwa na mwamuzi Shomari Lawi ulianza kwa saa kumi za jioni huku wachezaji wa kagera sugar wakianza mchezo huo wakiwa wamepoa na timu ya ruvu shutingi wakianza kwa mashambulizi makali dhidi ya Kagera Sugar

Ruvu shooting walikuwa wa kwanza kwa kufungua lango la timu ya kagera sugar kwa kujipatia goli la kwanza kupitia kwa mshambuliaji wa timu hiyo Ishara Juma dakika 16.

Licha ya timu ya Ruvu shooting kuwa wa kwanza kupata bao 1 kipindi cha kwanza pia ilikuwa ya kwanza mchezaji wake namba 13 George Wawa kupewa kadi nyekundu muda mfupi baada ya kumfanyia rafu mbaya Mchezaji wa Kagera Sugar V. Ludovick aliyeingia kipindi cha pili cha mchezo huo. 


Dakika ya 75 kagera sugar wamepata fursa ya kusawazisha kupitia kwa mchezaji huyo huyo  Venance Ludovick na mtanange kumalizika kwa kwa sare ya bao 1-1. 
Kipindi cha pili Kagera Sugar waliliandama mara kwa mara Lango la Timu ya Ruvu Shooting na huku Ruvu wakiwa pungufu 10 uwanjani.

Patashika kwenye lango la Timu ya Ruvu Shooting.
Kikosi cha Timu ya Kagera Sugar kilichoanza leo dhidi ya Timu ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo hii kwenye Mchezo  wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.
Kikosi cha Timu ya Ruvu Shooting kilichoanza leo dhidi ya Timu ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo hii kwenye Mchezo wa pili wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

yaani makala yote VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/vpl-kagera-sugar-1-vs-1-ruvu-shooting.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO."

Post a Comment

Loading...