Loading...

SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI

Loading...
SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI
link : SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI

soma pia


SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI

Uzalendo limekuwa neno kuu katika siku za karibuni. Na wengi wetu tunatafsiri kama ni kuipenda na kuiweka Nchi yako mbele. Lakini sifa nyingine muhimu sana ya uzalendo ni kujitolea kwa faida au maendeleo ya wengi.
Salasala Vision Group ( SVG) iliasisiwa miaka 5 iliyopita na wakazi wachache wa Salasala Kilimahewa lengo likiwa ni kisaidia masuala ya ulinzi, mazingira, miundombinu, michezo na kuchochea maendeleo ya wanachama wake.
Hadi leo SVG imepanda miti zaidi ya 10,000, imetengeneza barabara za mitaa pamoja na kurekebisha barabara kuu, imetoa msaada vitendea kazi kwa polisi, kutengeneza viwanja vya michezo na pia kununua aridhi kwa wanachama wake zaidi ya hekari 250 huko Bagamoyo.
Wiki hii kwa mwaliko wa Spika wa Bunge SVG imetembelea Bungeni na kisha kucheza mechi na timu ya Bunge na kuibuka na ushindi wa bao 2 - 1.


Hivyo makala SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI

yaani makala yote SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/salasala-visions-group-wamuunga-mkono.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SALASALA VISIONS GROUP WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWA WAZALENDO WA KWELI"

Post a Comment

Loading...