Loading...

WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.

Loading...
WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.
link : WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.

soma pia


WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.

WAKAZI  wa Mtaa wa Sinza uliopo katika Mhakama ya Mazese walalamikia  kero wanayoipata kutokana na miundombinu mibovu ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) yanayosababisha maji kutapakaa barabarani hususani katika mtaa huo ambao ndani yake ipo Mahakama ya Mazese Mpaka njiapanda ya kuelekea Ukumbi wa Mirado jijini Dar es Salaam.

Malalamiko hayo yametolewa na Wakazi wa Maeneo hayo ambao hawakutaka kujulikana wakati Akizungumza na mwandishi wa Michuzi Blog jijini Dar es Saalam leo. 

Pia amewaomba watendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Maji  taka(DAWASCO) watembelee katika eneo hilo ili waweze kufanya marekebisho ya bomba hilo kwani maji mengi sana yanapotea katika eneo hilo ambapo yakikanyagwa na magari yanakuwa machafu sana yanayoleta kinyaa pamoja na usumbufu kwa wapita njia.

"Tunawaomba watendaji wa DAWASCO watembelee eno hiyo ili waweze kufanya marekebisho ya bomba linalotiririsha maji mengi sana yanayofika mpaka barabara ya Shekilango-Sinza."

Pia amesema kuwa  "nikiasi gani cha maji yanayopotea katika eneo hilo kwani yanaharibu hata barabara za mitaa mtaa wetu kama vile kunamvua  hadi tunaonekana wakazi wa mtaa huu waa Sinza ni wachafu kupindukia"

Pia amewaasa wafanyakazi wa DAWASCO watembelee maeneo mbalimbali ili kujionea upotevu wa maji ambayo ni mhimu kwa matumizi ya binadamu pamoja na wanyama.
 Mwonekano wa Maji ambayo yamefanya Matope Mbele ya Geti la Mahakama ya Mazese liyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
 Maji yaliyotuwama kandokando ya ukuta wa Mahakama ya Mazese jijin Dar es Salaam.
Maji yametuama karibu kabisa na Geti la mkazi wa maeneo hayo yanayosababisha mkazi huyo kutoweza kutokea geti hilo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.


Hivyo makala WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.

yaani makala yote WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wakazi-wa-mtaa-wa-sinza-walalamikia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWAKERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO."

Post a Comment

Loading...