WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA.link :
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA.
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA.
Mwambawahabari
Na Maria Kaira,Mwambawahabari
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewataka watumishi wa umma kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa kuzingatia sheria,kanuni na taratibu zilizopo kwa kutimiza wajibu wao kwa wananchi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi wa maadili ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Lambert Chialo amesema maadili ni suala shirikishi kwa kila mmoja katika nafasi yake hivyo wanapaswa kuchukua hatua ili kuleta mabadiriko katika utumishi na kuboresha utoaji huduma kwa wananchi.
Aidha Chialo amewaomba wananchi kushiriki kikamilifu katika kufichua vitendo vya ukiukwaji wa maadili katika utumishi wa umma kwa kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika na kutumia madawati ya malalamiko yaliyopo katika taasisi za umma.
"Endapo unataarifa na uthibitisho wa watumishi ambao bado wanaendelea kutumia vyeti ambavyo sio vyao au hawapo katika vituo vyao vya kazi bila sababu ya msingi huku wakiendelea kupokea mshahara wa serikali unaombwa kuwasilisha taarifa" amesema
Pia amewasisitiza viongozi na wasimamizi wa kazi kuendelea kuelimisha suala la maadili pamoja na kuhakikisha watumishi wanaishi kwa kuzingatia kanuni na taratibu kwa kufanya kazi kwa weledi.
Hatahivyo Chialo ameeleza changamoto zinazojitokeza katika ukuzaji wa maadili ikiwa ni pamoja na utoro kazini ambapo baadhi ya watumishi wamejenga mazoea ya kutofika kazini bila sababu ya msingi kinyume na kanuni ya 57 za utumishi wa umma ya mwaka 2003 na kanuni za maadili ya utendaji katika utumishi wa umma.
" matumizi mabaya ya serikali,matumizi mabaya ya ofisi
Pamoja na vitendo vinavyoaibisha utumishi wa umma,ambapo amesema maadili ya utumishi wa umma yamejengeka katika misingi mikuu mitatu ambayo ni kuzingatia utalatibu, uaminifu na uwajibikaji"amesema
Hivyo makala WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA.
yaani makala yote WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/watumishi-wa-umma-watakiwa-kutofanya.html
0 Response to "WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA."
Post a Comment