Loading...
title : Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda
link : Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda
Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda Bi. Asha Abdalla Mwelekwa mara baada ya kufika katika ofisi hizo ili kuonana na Kaimu Balozi ambaye ni Naibu Balozi Elibariki Nderimo Maleko.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akiangalia ngoma ya Utamaduni ya Kikundi cha Taifa cha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati alipofika katika uwanja wa Uhuru Kololo kuangalia maonesho ya bidhaa za wasanii wa nchi mbalimbali Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mhe. Mwakyembe akiangnalia bidhaa za viatu vinavyozalishwa na wasanii wa Nchi ya Rwanda ambvyo vikanyagio vyake vimetengenezwa kwa matairi ya gari wakati alipotembelea banda la nchi hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda
yaani makala yote Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/waziri-mwakyembe-audhuria-tamasha-la.html
0 Response to "Waziri Mwakyembe audhuria tamasha la JAMAFEST nchini Uganda"
Post a Comment