Loading...

WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM

Loading...
WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM
link : WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM

soma pia


WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 23, mwaka huu kwa michezo mitatu kuchezwa katika viwanja tofauti hapa nchini.

Kesho Jumamosi Young Africans itacheza na Ndanda FC ya Mtwara kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati Tanzania Prisons itakuwa mgeni wa Mwadui ya Shinyanga katika mchezo utaofanyika Uwanja wa Mwadui.

Mchezo mwingine, utakutanisha timu za Majimaji itakayokuwa mwenyeji wa Njombe Mji kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea. Mechi zote hizo zitaanza saa 10.00 jioni.

Jumapili Septemba 24, mwaka huu kutakuwa na michezo minne ambako Ruvu Shooting itaialika Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani huku Stand United ikicheza na Mbeya City kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Mechi hizo pia zitaanza saa 10.00 jioni.

Michezo mingine itakuwa ni Singida United itakayoialika Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma saa 10.00 jioni kabla ya Azam kuialika Lipuli ya Iringa kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi katika mchezo utakaoanza saa 1.00 jioni


Hivyo makala WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM

yaani makala yote WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wikiendi-ya-ligi-kuu-ya-vodacom.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIKIENDI YA LIGI KUU YA VODACOM"

Post a Comment

Loading...