Loading...
title : YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO
link : YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO
YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO
BAADA ya kupata pointi 4 ugenini Yanga yarudi kwa kasi na kufanikiwa kunyakuwa pointi tatu ikiwa nyumbani kwa kuifunga Ndanda ya Mtwara goli 1-0.
Yanga wakiwa nyumbani waliweza kumiliki mpira kwa dakika zote 45 za kipindi cha kwanza na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 35.
Kutokana na matokeo ya leo Yanga wanakuwa sawa na Simba kwa pointi wakitofautiana kwa magoli ya kufunga.
Kwa upande wa kocha msaidizi wa Yanga, Shedrack Nsajigwa amesema watafanyia marekebisho mapungufu yaliyojitokeza licha ya kupata pointi 3.
Nae kocha msaidizi wa Ndanda Musa Mbaya amesema kushindwa kwao leo ni kutokana na ugeni wa wachezaji ambao wameingia kwenye kikosi chao na kupelekea kutoweka muunganiko mzuri hivyo makosa hayo watayafanyia kazi mapungufu hususani kwenye upande wa ushambuliaji.

Mshambuliani wa Timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu, akiachia shuti kali kueleka langoni mwa timu ya Ndanda "Wanakuchele", katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, iliyochezwa jioni ya leo kwenye dimba la Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda bao 1-0.
Mabeki wa timu ya Ndanda, wakimdhibiti vilivyo, mshambuliani wa timu ya Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, iliyochezwa jioni ya leo kwenye dimba la Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda bao 1-0.
Hivyo makala YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO
yaani makala yote YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/yanga-yaichapa-ndanda-bao-moja-kwa.html
0 Response to "YANGA YAICHAPA NDANDA BAO MOJA KWA NUNGE JIJINI DAR LEO"
Post a Comment