Loading...

WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA.

Loading...
WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA.
link : WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA.

soma pia


WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA.

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa amewaongoza wafanyabiashara wa magari (wamiliki wa yadi) lulagua  eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya ununuzi na uuzaji wa magari kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara hao Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa ameeleza kuwa lengo la kuwapeleka wafanyabiashara hao katika eneo hilo la Kisarawe II Kigamboni ni kuwaeleza namna watakavyomilikishwa na serikali ina mpango gani na eneo hilo.
Akieleza jinisi watakavyo wamilikisha wafanyabiashara hao DC Mgandilwa amesema watawapa maeneo hayo bure kwa muda wa miaka mitatu bila malipo ila watalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki tatu kama dhamana ya kuonesha nia, kisha baada ya miaka mitatu wataanza kulipa kodi ya nusu dola (1250) kwa mwezi kila baada ya miezi sita.
DC Mgandilwa ameongeza kuwa wafanyabiashara hao wakitaka kukodi maeneo hayo watalazimika kulipia kiasi cha shilingi 30000 kwa mita mraba moja ndani ya miezi mitatu, lakini pia wakitaka kununua kwa mwaka watalazimika kulipa 35000 kwa mita mraba moja ndani ya miaka mitatu.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Property International Limited Halim Zaharani amesema eneo walilotenga kwa ajili ya shughuli hiyo ya yadi ya kuuzia magari ni mita za mraba 750,000 na wameweka ziada ya mita mraba zaidi ya 300,000.
Naye mmoja wa wafanyabiashara waliofika eneo hilo Salim Chicago amepongeza kuanzishwa kwa mpango huo wa yadi ya pamoja ambao ameeleza kuwa utawarahisishia wateja kuwa sehemu moja ambayo inatambulika na uwepo wa aina mbalimbali za magari, ambapo amebainisha kuwa mfumo huo wa kuwa na eneo maalum la uuzaji unatumiwa na nchi nyingi zilizoendelea duniani ikiwemo Dubai, Japan na Singapore.
Uwepo wa eneo hilo ni ushirikiano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Kampuni ya Property International LTD, eneo hilo lipo umbali wa Kilomita 16 kutoka daraja jipya la Mwalimu Nyerere na Kilomita 10 kutoka Kibada Senta na miundombinu muhimu ya kijamii kama barabara, maji, umeme vipo katika mkakati wa uendelezaji.


Hivyo makala WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA.

yaani makala yote WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wafanya-biashara-wa-magari-wajitokeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYA BIASHARA WA MAGARI WAJITOKEZA KWAWINGI KUCHUKUA MAENEO YA KUJENGA SHOW ROOM, DC MGANDILWA AWEKA WAZI UTARATIBU MZIMA."

Post a Comment

Loading...