Loading...

ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI

Loading...
ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI
link : ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI

soma pia


ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho mwakilishi wa Jarida la PLUS 255 MAGAZINE Bw. Francis Maduhu mara baada ya kukamilisha taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Usajili Bw. Patrick Kipangula.
 Mwakilishi wa Jarida la PLUS 255 MAGAZINE Bw. Francis Maduhu akionyesha Leseni ya machapisho aliyokabidhiwa kwa ajili ya Jarida lake leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni za machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimpongeza mwakilishi wa Jarida la PLUS 255 MAGAZINE Bw. Francis Maduhu baada ya kumkabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho kufuatia kukamilisha taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni za machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Usajili Bw. Patrick Kipangula.

Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO


Hivyo makala ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI

yaani makala yote ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/zoezi-la-uchukuaji-wa-leseni-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZOEZI LA UCHUKUAJI WA LESENI ZA MACHAPISHO LAZIDI KUSHIKA KASI"

Post a Comment

Loading...