Loading...

SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi.

Loading...
SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi.
link : SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi.

soma pia


SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi.

Mwambawahabari

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili ahojiwe kuhusu kauli aliyoitoa ya kumtuhumu Spika kuwa amedanganya idadi ya risasi alizopigwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),  Tundu Lissu. 

Pia  Spika Ndugai ameagiza Kubenea na Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kupelekwa katika Kamati ya Bunge ya Maadili na Madaraka kwa tuhuma mbili tofauti                       

Zitto anatuhumiwa kutamka kuwa Bunge limewekwa mfukoni na muhimili fulani, wakati Kubenea ni kwa kumtuhumu Spika kusema uongo wa idadi ya risasi alizopigwa Lissu. 

Spika Ndugai ametoa maagizo hayo bungeni mjini Dodoma leo Jumanne.


Hivyo makala SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi.

yaani makala yote SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/spika-ataka-zitto-kabwekubenea-wasakwe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA ATAKA ZITTO KABWE,KUBENEA WASAKWE NA KUFIKISHWA MBELE YA KAMATi."

Post a Comment

Loading...