Loading...
title : CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO
link : CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO
CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe akimnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio wa Udiwani Kata ya Kijichi, Eliasa Mtalawanje,Temeke Dar es Salaam, leo. Akizungumza amesema CCM itashinda Udiwani kata zote tatu ambako uchaguzi unarudiwa mkoani Dar es Salaam. Kata zingine ni Saranga na Mbweni.
Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Kijichi Eliasa Mtalawanje akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye mkutano huo
Mtalawanje akitroti kuelekea jukwaani baada ya kutambulishwa na Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Temeke.
Mgombea akionyesha ilani baada ya kukabidhiwa
Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio wa Udiwani Kata ya Kijichi, Eliasa Mtalawanje,Temeke Dar es Salaam, akizungumza na kuomba kura baada ya kunadiwa na Kusilawe, leo
Hivyo makala CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO
yaani makala yote CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/ccm-yazindua-kwa-kishindo-kampeni-za.html
0 Response to "CCM YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI KIJICHI LEO"
Post a Comment