Loading...

CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Loading...
CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
link : CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

soma pia


CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na wateja wa benki hiyo tawi la Quality Center jijini Dar es Salaam, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa  Wateja  Duniani. (Na Mpiga Picha Wetu).
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo, akizungumza na Wateja wa Benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi hilo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa wameshika keki maalumu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Quality Center Barabara ya Nyerere Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB, tawi la Quality Center, Clementine Kinabo (kushoto), akimkabidhi tuzo maalumu, Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Master Mind Tobacco, Joseph Dominic, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

yaani makala yote CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/crdb-tawi-la-quality-center-wazindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA"

Post a Comment

Loading...