Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kufunua kitambaa kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kukata utepe kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyuma la Taifa (NHC) Mama Blandina Nyoni, Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu wakikagua moja ya nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na NHC eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017
Muonekano wa baadhi za nyumba nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na NHC na kufunguliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Desemba 13, 2017.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-afungua-nyumba-za.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO"
Post a Comment