Loading...
title : Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam
link : Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam
Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kanisa la KKKT Baba askofu Dr. Frederick Shoo akizindua App ya Tumuabudu Mungu wetu katika Hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto kabisa (mwenye shati jeupe) ni mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika
Baadhi ya maaskofu walio hudhuria katika Uzinduzi wa App ya Tumuabudu Mungu Wetu itakayopatika kwenye Mtandao
Mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika akizungumza katika Uzinduzi huo.
Mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika akizungumza katika Uzinduzi huo, kitabu hicho kitapatikana kwa njia ya Mtandao kupitia Simu za Mikononi.
Hivyo makala Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dini-askofu-dk-frederick-shoo-azindua.html
0 Response to "Dini : Askofu Dk. Frederick Shoo Azindua APP ya kitabu cha "Tumuabudu Mungu Wetu" Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment