Loading...
title : DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA
link : DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA
DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha
Rais mstaafu wa awamu ya nne ,dk.Jakaya Kikwete ,ametoa rai kwa wadau na viongozi ambao wametokea katika chimbuko la shule ya sekondari ya Kibaha;” ,Kuangalia namna ya kutatua changamoto ya uhaba wa madarasa ambayo inasababisha mlundikano wa wanafunzi madarasani.
Aidha amesema mbegu ya kuwa yeye mwanasiasa ilipandwa shuleni hapo, baada ya kuchaguliwa kiongozi wa baraza la shule kutokana na harakati zake za kutetea haki za wanafunzi .
Dk.Kikwete aliyasema hayo shirika la elimu Kibaha ,wakati wa mahafali ya 50 ya wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Kibaha ambako alipata elimu yake ya sekondari mwaka 1966 hadi 1969. Alisema ,atashirikiana na wadau mbalimbali kuona namna bora ya kusaidia kupunguza ama kuondoa tatizo la upungufu wa madarasa .
Dk.Kikwete alisema , haipendezi na hajafurahishwa na hali ya miundombinu ilivyokuwa chakavu hali inayoathiri mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji . Rais huyo mstaafu wa awamu ya nne ,alieleza changamoto hizo si sababu ya kushindwa bali uwepo wa changamoto huongeza umakini ,bidii na ubunifu ili kukabiliana nazo .
Rais mstaafu wa awamu ya nne dk.Jakaya Kikwete ,akitoka kutembelea bweni alikuwa analala wakati akisoma shule ya sekondari Kibaha mwaka 1966-1969, wakati wa mahafali ya 50 ya kidato cha nne shuleni hapo,huku akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali akiwemo mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama wa pili kushoto,na viongozi wa shule ya sekondari Kibaha na shirika la elimu Kibaha.(picha na Mwamvua Mwinyi)

Baadhi ya wahitimu wakiimba wimbo maalum katika mahafali hayo.
Rais mstaafu wa awamu ya nne ,Dk.Jakaya Kikwete, akipokea zawadi ya picha aliyochorwa na mmoja wa wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Kibaha, Mkoani Pwani, wakati wa mahafali ya 50 ya wanafunzi wa kidato cha nne shuleni hapo .

Rais mstaafu wa awamu ya nne ,Dk.Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne shule ya sekondari Kibaha, wakati wa mahafali ya 50 ya kidato cha nne shuleni hapo .(picha na Mwamvua Mwinyi) .

Hivyo makala DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA
yaani makala yote DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dkkikwete-hali-ya-miundombinu-kibaha.html
0 Response to "DK.KIKWETE -HALI YA MIUNDOMBINU KIBAHA SEKONDARI HAIRIDHISHI TUSHIRIKIANE KUITATUA"
Post a Comment