Loading...
title : Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama
link : Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama
Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama
Wananchi wakiwa Kisimani huko katika Kijiji cha Kele Mtambwe Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakichota maji na kufua kufuatia kukosekana kwa huduma ya maji safi na Salama Kijijini hapo.
Wananchi wakiwa Kisimani huko katika Kijiji cha Kele Mtambwe Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakichota maji na kufua kufuatia kukosekana kwa huduma ya maji safi na Salama Kijijini hapo.
Madumu ya kuchotea maji , yakiwa katika msogo wa kusubiria maji yatoke katika mfereji huo.
Kisima ambacho kimechimwa na Wananchi wa kijiji cha Kele Mtambwe Wete,ambacho kimekwama kutumika kwa ukosefu wa baadhi ya nyenzo kama vile Umeme .
Picha na Bakar Khamis-Pemba.
Hivyo makala Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama
yaani makala yote Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wananchi-kijiji-cha-kele-mtambwe-wete.html
0 Response to "Wananchi kijiji cha Kele Mtambwe, Wete wakosa huduma ya maji safi na salama"
Post a Comment