Loading...

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

Loading...
DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO
link : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

soma pia


DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja

 Baadhi ya Wakurugenzi katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Waziri wa  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  Mhe.Moudline Syrus Castco (katikati) akisoma taarifa yake katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe. Shadya Mohamed Suleiman
 Katibu Mkuu wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Fatma Gharib Bilal akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Mshauri wa Rais masuala  ya Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar Mohamed(kushoto)
Mshauri wa Rais Ushirkiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha  Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)
Picha na IKULU


Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-wizara_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO"

Post a Comment

Loading...