Loading...
title : Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38
link : Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38
Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38
- Itashutiwa katika miji ya Berlin, London, Paris, Cape Town, Acapulco na Mexico
- Mastaa wakubwa duniani kama Eric Dane wa Last ship, Gerard Depardieu wa Life of Pie, Thomas Kretschmann wa Avengers Pearl Thusi wa Quantico…kushiriki
NYOTA ya aliyekuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Mtanzania Idris Sultan, inaendelea kung’ara baada ya ‘kupata shavu’ la kushiriki filamu yenye bajeti ya dola za Kimarekani milioni 17 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 38.
Idris pamoja na Mtanzania mwingine Ernest Napoleon, wataungana na mastaa wakubwa duniani kama Eric Dame, mwigizaji Mmarekani, Gerard Depardieu wa Ufaransa, Thomas Kretschmann wa Ujerumani na wengine wengi kucheza filamu hiyo ya ujambazi wa kimataifa.
Filamu hiyo itakayojulikana kwa jina la ‘The Blue Mauritius’, inahusu majambazi watano wa kimataifa ambao wanasafiri kwenda katika jiji la Cape Town nchini Afrika ya Kusini, kwa ajili ya kuiba vitu mbali mbali vyenye thamani kubwa duniani.
Idris na mwenzake Ernest Napoleon, watasafiri kwenda katika jiji la Cape Town nchini Afrika kusini mapema mwakani kwa ajili ya filamu hii kubwa kuwahi kuwahusisha Watanzania. Habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38
yaani makala yote Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/idris-sultan-aula-filamu-yenye-bajeti_2.html
0 Response to "Idris Sultan ‘aula’ filamu yenye bajeti ya shilingi bilioni 38"
Post a Comment