Loading...

WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI

Loading...
WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI
link : WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI

soma pia


WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI


 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi Tanzania  (TANNA)  kutoka sehemu mbalimbali wakiungana na wajumbe wenzao pamoja na viongozi wa Tanna Mkoa wa Lindi jana katika kufanya maandalizi ya Mkutano Mkutano Mkuu  wa 45 unao tarajiwa kufanyika Oktoba 4-6 Kitaifa  ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.( PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Mwenyekiti wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kulia) mwenyeshati la kitenge akisalimiana na mjumbe wa Kamati kuu ya Chama hicho kutoka Arusha, Hosea Naman mara alipofika Mkoani humo kwa niaba ya Mkutano Mkuu wa Chama hicho.


 Wajumbe wa Chama Cha Wauguzi (TANNA) wakiwa katika safari kuelekea Mkoa wa Lindi katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho  unao tarajiwa kufanyika Oktoba 4-6 Kitaifa ambapo unatarajiwa kufunguliwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.



 Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Lindi, Damasiana Msala (kulia)  akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi (TANNA) mara walipowasili katika mkoa huo jana
 Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo (wa katikati) akisalimia wajumbe mara baada ya kuwasili katika Mkoa huo jana, kulia ni Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Lindi, Damasiana Msala na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga. 


Hivyo makala WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI

yaani makala yote WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wajumbe-mkutanomkuu-wa-45-chama-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAJUMBE MKUTANOMKUU WA 45 CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) SAFARINI LINDI"

Post a Comment

Loading...