Loading...

IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

Loading...
IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI
link : IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

soma pia


IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa,(ACP) Julius Mjengi (kulia), alipowasili katika mkoa huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake za kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoani Iringa, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. 
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa tayari kwa kumpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, ambaye yupo mkoani Iringa, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza, na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, wakiwa katika kikao kazi na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wakijadiliana namna ya kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu mkoani humo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja.



Hivyo makala IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

yaani makala yote IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-awasili-mkoani-iringa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI"

Post a Comment

Loading...