Loading...
title : RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI
link : RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI
RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI
Meneja wa Rasilimali Watu wa Radio Uhuru, Paul Mung’ong’o akizungumza baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto wenye Kansa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili vyenye thamani zaidi sh. Milioni Mbili leo ambavyo vimetolewa na watu wanaosikiliza radio hiyo kupitia kipindi cha Kugusa Maisha yao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Radio Uhuru na Mtangazaji wa Kipindi cha Gusa Maisha Yao, Joy Njarabi akizungumza juu ya uendeshaji wa kipindi hicho na kuweza kupata watu ambao wanaguswa moja kwa moja na kutoa msaada ikiwemo kwa kituo cha watoto wenye Kansa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Wafanyakazi wa Radio Huru wakiwa na watoto wa kituo hicho wakati wa kukabidhi msaada wa vitu mblimbali katika kituo hicho kupitia kipindi cha Gusa Maisha Yao.
Picha mbalimbali za wafanyakazi katika kituo cha watoto wenye Kansa
Hivyo makala RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI
yaani makala yote RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/radio-uhuru-yakabidhi-msaada-katika.html
0 Response to "RADIO UHURU YAKABIDHI MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBLI"
Post a Comment