Loading...
title : JPM apokea Maseneta kutoka Marekani
link : JPM apokea Maseneta kutoka Marekani
JPM apokea Maseneta kutoka Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wengine wa Baraza la Marekani Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Magufuli ameupokea ugeni huo na kufanya nao mazungumzo mbalimbali ndani ya Ikulu. Hata hivyo bado taarifa rasmi za nini haswa wameongea viongozi hao baada ya kukutana hazijatoka.
Pia leo Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempokea kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia H.H.Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipotembelea Ikulu na kuteta mambo na mheshimiwa Rais.
Aidha Rais Dkt. Magufuli amepokea kitabu cha Seneta James Inhofe kilichoonyesha picha za maeneo mbalimbali ya Tanzania alipotembelea mwaka mmoja na nusu uliopita
Hivyo makala JPM apokea Maseneta kutoka Marekani
yaani makala yote JPM apokea Maseneta kutoka Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JPM apokea Maseneta kutoka Marekani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/jpm-apokea-maseneta-kutoka-marekani.html
0 Response to "JPM apokea Maseneta kutoka Marekani"
Post a Comment