Loading...

WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA

Loading...
WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA
link : WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA

soma pia


WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.
WATANZANIA wametakiwa kuunga mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli katika adhma yake ya kufanya nchi hii kuwa na uchumi wa viwanda kwa kuendelea kusimamia mawazo wa aliyekuwa Rais wa kwanza nchini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, William Tata Ole Nasha alipokuwa akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius .K. Nyerere lilifanyika katika ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

“Baba wa taifa Julius Kambarage Nyerere anakumbukwa kwa mtazamo wake wa kuanzisha ,kuendeleza na kudumisha viwanda vya ndani ya nchi kukidhi mahitaji ya wananchi pasipo kutegemea Zaidi uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi .uthubutu wa kuanzisha Viwanda vya nguo kama vile Kiwanda cha Urafiki ,Mwatex , Mbeyatex na Mutex ni hatua inayokisi mtazamo wake juu ya Viwanda.” Amesema Ole Nasha.

Amesema hivyo kwa namna ya pekee nimpongeze Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, anavyosimamia utekelezaji wa mpango huu kwanza kwa kurejesha maadili kwa viongozi na kusimamia matumizi ya rasilimali bora za nchi.

Kwa upande wake mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ,Prof. Shadrack Mwakalila amesema Baba wa Taifa alisema Julai 29 mwaka 1961 wakati wa ufunguzi wa chuo hicho kuwa alisema kuwa wale wote watakaopata nafasi ya kusoma na kufuzu kivukoni watafanana ma hamira katika mkate. Haiwezekani kutenga hamira katika mkate bali tunajua hamira ipo kwa kutazama jinsi ilivyomua mkate.
Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya akizungumza wakati wa Kongamano la la mahadhimsho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika katika chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kongamano la Mahadhimisho ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mama Anna Makinda akizungumza wakati akifungua mdahaloi huo.
Kaimu Balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini akikabidhi zawadi ya Vitabu zinavyomzungumzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kongamano la Maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Sehemu ya Wajumbe walio hudhulia Kongamano la kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.


Hivyo makala WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA

yaani makala yote WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/watanzania-watakiwa-kumuenzi-mwalimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA"

Post a Comment

Loading...