Loading...
title : KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI
link : KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI
KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John Baptist iliyopo Boko Basihaya katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameonyesha kufurahishwa na kampeni iliyozinduliwa hivi karibuni ya '3D' yenye maana ya !Nidhamu, Nidhamu, Nidhamu! kuwa imewaongezea morali wa kufanya vizuri darasani.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wanafunzi hao walisema kampeni hiyo imewasaidia sana katika kufanya vizuri katika masomo yao darasani kwa kile walichodai kuwa kuwa bila ya nidhamu katika jambo lolote hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana.
Doroth Samson mmoja wa wanafunzi hao wa kidato cha nne shuleni hapo alisema hawana budi kuupongeza uongozi wa shule hiyo kwa kuzindua kampeni hiyo kwani imewasaidia kuwaongezea nidhamu ya hali ya juu ambayo ni chachu ya kufanya vizuri katika masomo yao.
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Doroth Samson akizungumza na waandishi wa habari
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya John Baptist, Aspiter Kibona akizungumza na waandishi wa habari.
Hivyo makala KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI
yaani makala yote KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kampeni-ya-3d-yaipaisha-shule-john.html
0 Response to "KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI"
Post a Comment