Loading...
title : KUMBUKUMBU
link : KUMBUKUMBU
KUMBUKUMBU
Marehemu Dafrosa Sabinus Kweka
1970 - 1999
Ni miaka kumi na nane (18) sasa toka umerudi kwa baba. Ninapokosa maneno yako ya busara na hekima, ucheshi na ujasiri. Ninakukumbuka sana na kukuombea mimi mtoto wako wa pekee Jesca, pia unakumbukwa sana na mume wako mpendwa, Ibrahim Msengi, kaka zako Festo na Thade, dada zako Jane, Eugenia, Elizabeth na Cesilia pamoja na Mjukuu wako Dafrosa Michael Chenza. “Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru, haja zenu zijulikane na Mungu.” Fil: 4:6
Hivyo makala KUMBUKUMBU
yaani makala yote KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kumbukumbu_24.html
0 Response to "KUMBUKUMBU"
Post a Comment