Loading...

MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)

Loading...
MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)
link : MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)

soma pia


MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)

Madiwani na Watendaji wa kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga,wameshauriwa kuhakikisha wanasimamia vizuri miradi ya maendeleo hususani inayofadhiliwa na mashirika yasiyo ya kiserikali iliyopo kwenye maeneo yao ili iweze kujengwa kwa kiwango kinachohitajika.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hamlamashuri ya wilaya ya Handeni William Makufwe kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika Oktoba 16 na kueleza kuwa kuna umuhimu wa viongozi wa Kata kuwa karibu na wafadhili wanaojenga miradi kwenye maeneo yao kwani wao ndio wasimamizi.

Makufwe alisema ofisi ya Mkurugenzi inakuwa na imani kwamba Madiwani na Watendaji wa Kata ndio wasimamizi wakuu wa miradi iliyopo kwenye kata zao hivyo ikitokea miradi haina kiwango ina maana viongozi ngazi ya Kata hawakutimiza wajibu wao.

Aliongeza Kuwa ni kweli Serikali inahitaji kufadhiliwa lakini sio kwa kujengewa miradi ambayo ipo chini ya kiwango hali inayopelekea kuharibika Kwa muda mfupi na kutokufikia malengo yaliyokusudiwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni akizungumza kwenye kikao cha baraza na kutoa ushauri kwa viongozi.
Diwani Kata ya Kwamgwe Mh Sharifa abebe akizungumza kwenye kikao hicho cha baraza
Wataalamu wa Halmashauri na Madiwani wakiwa kwenye kikao cha Baraza
Mwenyekiti wa Halmashauri MH Ramadhani Diliwa katikati akizungumza na wataalamu na Madiwani, kulia ni kaimu Mkurugenzi kwa Muda Fatuma Kalovya , kushoto ni Makamu mwenyekiti Mh. Abdalla Pendeza.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)

yaani makala yote MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/madiwani-na-watendaji-kata-halmashauri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI NA WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA HANDENI WASHUARIWA KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOS)"

Post a Comment

Loading...