Loading...
title : TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA
link : TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA
TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA
NA K-VIS BLOG, MTWARA
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco), limefanikiwa kukarabati mashine namba 6 iliyokuwa imeharibika na kuiwasha kwa ajili ya kutoa huduma ya umeme kwa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Hatua ya kuwashwa kwa mtambo huo ni juhudi za shirika hilo za kuimarisha hali ya upatikanaji umeme kwa wananchi kusini huku ikiwa ni siku moja baada ya Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani alipotembelea Kituo cha kufua umeme kwa gesi .
Akizungumza leo mjini hapa, Kaimu Mkurugenzi wa Tanesco, Mhandisi Dk. Tito Mwinuka ambaye amepiga kambi mkoani humo pamoja na watalaamu wengine, alisema kuwa mitambo iliyokuwa ikifanya kazi ilikuwa minne lakini baada ya juhudi kubwa za wataalamu wa Tanesco hadi kufikia jana jioni wamefanikiwa kuwasha mashine hizo zenye uwezo wa kuzalisha Megawati 16.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Tito Mwinuka, (wakwanza kushoto), na viongozi wengine wa Shirika hilo, wakifuatilia maendeleo ya ukarabati wa mitambo ya kufua umeme mkoani Mtwara leo Oktoba 17, 2017.
Mafundi wa TANESCO wakiendelea na ukarabati wa mshine.
Hivyo makala TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA
yaani makala yote TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tatizo-la-umeme-mtwara-na-lindi-mafundi.html
0 Response to "TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI: MAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA"
Post a Comment