Loading...

Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii

Loading...
Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii
link : Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii

soma pia


Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kufungua Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii yanayojulikana kwa jina la Swahili linalofanyika kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili uliofanyika kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kinyago maalum Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA Jenerali Mstaafu George Waitara kama ishara ya shukrani kwa kuwa mmoja wa wadhamini wa Maonyesho ya Tatu ya Utalii ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Bw. Allan Kijazi mara baada ya kupokea kinyago maalum ikiwa ni shukrani kwa kuwa mmoja wa wadhamini wa Maonyesho ya Tatu ya Utalii ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili. 
   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kinyago maalum Naibu Mhifadhi (Uhifadhi, Maendeleo ja Jamii na Utalii) wa Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Maurus Msuha kama ishara ya shukrani kwa kuwa mmoja wa wadhamini wa Maonyesho ya Tatu ya Utalii ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




Picha ya Pamoja 


Hivyo makala Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii

yaani makala yote Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais afungua kongamano la kimataifa la Utalii"

Post a Comment

Loading...