Loading...

Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo

Loading...
Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo
link : Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo

soma pia


Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo

 Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.




 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein katika kituo cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
 Mama Janeth Magufuli akiwa na Mama Mwanamwema Shein wakimsalimia Bibi anayelelewa katika kituo cha Wazee eneo la Welezo ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakisalimia baadhi ya wazee wanaolelewa katika kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.
 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akikabidhi msaada wa vyakula kwa ajili ya wazee wanaolelewa kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. 


 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakiwa katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.


 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akitoa misaada katika kituo cha yatima cha wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. .

 Mama Janeth Magufuli akiaga baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati alipotembelea hapo na kutoa  msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.

 PICHA NA IKULU


Hivyo makala Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo

yaani makala yote Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mama-janeth-magufuli-na-mama-mwanamwema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein watembelea vituo vya watoto watima na wazee leo"

Post a Comment

Loading...