Loading...

Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam

Loading...
Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam
link : Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam

soma pia


Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam

Shirika la Amref Health Africa Tanzania kwa kushirikiana na Bank M, linawakaribisha wananchi wote kwenye Matembezi ya Hisani 2017 yanayolenga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kwa kuwasomesha wauguzi wakunga ili kupata ujuzi wa kutoa huduma bora wakati wa kujifungua.
Matembezi hayo yatafanyika Novemba 04, 2017 katika Viwanja vya Green Grounds Oysterbay Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa kumi na mbili na nusu mpaka saa nne asubuhi (12:30 – 4:00 asubuhi).
Mgeni Rasmi katika matembezi hayo anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ambapo yanaambatana na kauli isemayo “Wauguzi  Wakunga Zaidi, kwa Uzazi Salama”.
Wananchi pamoja na wadau mbalimbali wanahimizwa kuungana na Amref katika juhudi za kuongeza idadi ya wauguzi wakunga wenye ujuzi kwa kununua tiketi kwa shilingi 25,000 ambapo tiketi hiyo itaambatanishwa na tisheti matembezi hayo.
Tayari tiketi zinapatikana katika ofisi za Amref zilizopo Upanga karibu na ubalozi wa Japani Jijini Dar es salaam lakini pia waweza kupiga simu nambari 0767 30 30 14 ama 0658 00 67 07 kwa ufafanuzi zaidi.
Aidha malipo kwa ajili ya kupata tiketi yanafanyika kupitia nambari ya M-PESA 0762  223  348 ama kupitia Bank Account nambari 02 50 02 73 31 BANK M
Tembelea ukurasa wa Facebook wa Amfref  //www.facebook.com/AMREFHealthAfricaTZ/# ama tovuti www.amref.org kwa taarifa zaidi.





Hivyo makala Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam

yaani makala yote Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-kuongoza-matembezi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais Kuongoza Matembezi ya Hisani yaliondaliwa na Amref na Bank M Jijini Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...