Loading...
title : Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam.
link : Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam.
Mwambawahabari
Shirika la Amref Health Africa Tanzania kwa kushirikiana na Bank
M, linawakaribisha wananchi wote kwenye Matembezi ya Hisani 2017 yanayolenga
kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kwa kuwasomesha wauguzi wakunga ili kupata
ujuzi wa kutoa huduma bora wakati wa kujifungua.

Matembezi hayo yatafanyika Novemba 04, 2017 katika Viwanja vya
Green Grounds Oysterbay Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa kumi na mbili na nusu
mpaka saa nne asubuhi (12:30 – 4:00 asubuhi).
Green Grounds Oysterbay Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa kumi na mbili na nusu
mpaka saa nne asubuhi (12:30 – 4:00 asubuhi).
Mgeni Rasmi katika matembezi hayo anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ambapo
yanaambatana na kauli isemayo “Karibuni Tutembee Pamoja, Tusomeshe Wauguzi Wakunga Zaidi, kwa Uzazi Salama”.
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ambapo
yanaambatana na kauli isemayo “Karibuni Tutembee Pamoja, Tusomeshe Wauguzi Wakunga Zaidi, kwa Uzazi Salama”.
Wananchi pamoja na wadau mbalimbali wanahimizwa kuungana na Amref katika
juhudi za kuongeza idadi ya wauguzi wakunga wenye ujuzi kwa kununua tiketi kwa shilingi
25,000 ambapo tiketi hiyo itaambatanishwa
na tisheti matembezi hayo.
juhudi za kuongeza idadi ya wauguzi wakunga wenye ujuzi kwa kununua tiketi kwa shilingi
25,000 ambapo tiketi hiyo itaambatanishwa
na tisheti matembezi hayo.
Tayari tiketi zinapatikana katika ofisi za Amref zilizopo Upanga
karibu na ubalozi wa Japani Jijini Dar es salaam lakini pia waweza kupiga simu
nambari 0767 30 30 14 ama 0658 00 67 07 kwa ufafanuzi zaidi.
karibu na ubalozi wa Japani Jijini Dar es salaam lakini pia waweza kupiga simu
nambari 0767 30 30 14 ama 0658 00 67 07 kwa ufafanuzi zaidi.
Aidha malipo kwa ajili ya kupata tiketi yanafanyika kupitia nambari ya M-PESA 0762 223 348 ama kupitia Bank Account nambari 02 50 02 73 31 BANK M
Tembelea ukurasa wa Facebook wa Amfref http://ift.tt/2yQxEBC ama tovuti http://ift.tt/2gNmJSx taarifa zaidi.
Hivyo makala Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam.
yaani makala yote Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-kuwa-mgeni-rasmi-kwenye.html
0 Response to "Makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam."
Post a Comment