Loading...

MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

Loading...
MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA
link : MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

soma pia


MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

Mhandisi Dkt. Ramadhan S. Mlinga kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (COET) akitoa ufafanuzi wakati  akitoa mafunzo kwa Mameneja wa Mikoa na Vituo wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Mafunzo hayo yanayohusu Usimamizi wa Manunuzi na Mikataba yameanza leo na yanafanyika  katika Chuo cha Uhandisi na Teknolojia Chuo kikuu cha Dar es Salaam (COET).
Baadhi ya Mameneja wa Mikoa, vituo na Idara mbali mbali  kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiendelea na mafunzo yanayohusu Usimamizi wa Manunuzi na Mikataba yanayotolewa katika Chuo cha Uhandisi na Teknolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (COET). Mafunzo hayo yamelenga kuwapatia uwezo wa kusimamia Mikataba pamoja na Manunuzi mameneja hao na yatafanyika kwa siku tano chuoni hapo.
Baadhi ya Mameneja wa Mikoa, vituo na Idara mbali mbali  kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza mkufunzi  Mhandisi Dkt. Ramadhan S. Mlinga (hayupo pichani) wakati alipokuwa akiwapa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Manunuzi na Mikataba. Mafunzo hayo yanafanyika katika Chuo cha Uhandisi na Teknolojia Chuo kikuu cha Dar es Salaam (COET) na yanatarajiwa kumalizika baada ya siku tano.
Mameneja wa Mikoa, vituo na Idara mbali mbali kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkufunzi Mhandisi Dkt. Ramadhan S. Mlinga (katikati). Mameneja hao wanahudhuria Mafunzo ambayo yanafanyika katika Chuo cha Uhandisi na Teknolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (COET) na yamelenga kuwajengea uwezo katika masuala ya Usimamizi wa Manunuzi pamoja na Mikataba.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA)


Hivyo makala MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

yaani makala yote MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mameneja-temesa-wapewa-mafunzo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAMENEJA TEMESA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA"

Post a Comment

Loading...