Loading...
title : TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA.
link : TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA.
TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA.
Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Daniel Masolwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo ichani) wakati akikanusha taarifa za upotoshaji kuhusu takwimu za pato la taifa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Tafiti toka Benki Kuu Johnson Nyella
Mkurugenzi wa Sera na Tafiti toka Benki Kuu Johnson Nyella (kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo ichani) wakati akikanusha taarifa za upotoshaji kuhusu takwimu za pato lataifa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Daniel Masolwa.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Hivyo makala TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA.
yaani makala yote TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tazama-picha-za-taarifa-ya-kukanusha.html
0 Response to "TAZAMA PICHA ZA TAARIFA YA KUKANUSHA PATO LA TAIFA."
Post a Comment