Loading...

MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Loading...
MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA
link : MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

soma pia


MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Mfanya biashara Yusuf Manji leo Oktoba 6 2017 amefutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya kutumia dawa za kulevya.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

Sababu ambayo imepelekea kufutwa kwa kesi hiyo imetajwa kuwa ni upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa la mtuhumiwa, Yusuf Manji. Katika kesi hiyo, Manji anadaiwa kati ya Februari 6 na 9, 2017 eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroine.

Mahakama imemuachia huru Manji ikiwa ni siku chache tangu shauri lake jingine la Uhujumu uchumi liondolewe Mahakani hapo na Mkurugenzi wa mashitaka (DPP) ambaye alieleza kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Manji amewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga ambapo alijiuzulu wadhifa huo mapema mwaka huu. 

Pia Manji alikuwa Diwani wa Kata ya Mbagala kabla ya kuvuliwa nafasi hiyo baada ya kupoteza sifa.



Hivyo makala MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

yaani makala yote MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/manji-aachiwa-huru-kwa-kukosekana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MANJI AACHIWA HURU KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA"

Post a Comment

Loading...