Loading...

Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC

Loading...
Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC
link : Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC

soma pia


Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC

Watanzania waishio Washington DC na Vitongoji vyake, siku ya Jumapili Jan 14, waliweza kufanya maamuzi ya kuifufua tena Jumuiya ya Watanzania DMV, ilivunjika kwa zaidi ya miaka miwili hadi kufikia kufanya maamuzi ya kuifufua tena upya Jumuiya hiyo.
Kamati ya Maandalizi pamoja na waTanzania waliohudhuria katika mkutano huo, waliweza kufanya maamuzi ya kuteuwa watu saba kuwa ndani ya Kamati ya Uchaguzi, ili kushindikiza katika uchaguzi kujachua viongozi wapya watakaojitokeza kuchukua fumu za kugombea uongozi wa Jumuiya hiyo.
Viongozi wa Kamati ya Mda ya Uchaguzi waliochaguliwa na Watanzania waliohudhuria katika mkutano huo ni ; Robert Saulanga - Mwenyekiti Richard Mawenya - M/Kiti Msaidizi Julius Manase - Katibu Eddha Ghachuma - Muweka Hazina Mama Mushala - Mjumbe Kenyatta - Mjumbe Simba Sakapala - Mjumbe.


Hivyo makala Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC

yaani makala yote Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mkutano-mkuu-wakuifufua-upya-jumuiya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano Mkuu Wakuifufua Upya Jumuiya ya Watanzania Washington DC"

Post a Comment

Loading...