Loading...

MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI

Loading...
MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI
link : MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI

soma pia


MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI

Mwambawahabari

jkn1
Jumla ya wananchi 600 wameshiriki katika zoezi la upimaji wa magonjwa ya Moyo ambao ulienda sambamba  na utoaji wa elimu ya lishe bora kwa afya bora ya Moyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani iliyofanyika tarehe 29/09/2017 katika viwanja vya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete.

Wananchi walioshiriki katika zoezi hilo walipimwa  urefu, uzito, shinikizo la damu (BP), sukari na  kupewa ushauri.  Asilimia 80 ya wananchi waliopimwa siku hiyo walikutwa na matatizo ya shinikizo la juu la damu na wengine walikutwa na matatizo mengine ya Moyo.

Aidha wagonjwa 400 waliokutwa na matatizo ya moyo walipewa dawa na baadhi yao walianzishiwa  kliniki ili wataalamu wetu waweze kufuatilia maendeleo ya afya zao  kwa ukaribu na kuweza kupata huduma ya matibabu kwa ukaribu zaidi.

Kwa namna ya kipekee tunazishukuru sana kampuni zinazotengeneza dawa za binadamu za Tata Africa Holdings (T) LTD, Reddy’s, na Phillips  ambazo ziligawa  dawa bure kwa wananchi waliokutwa na matatizo ya Moyo.

Tunawaomba wananchi wajenge tabia ya kupima afya zao mara kwa mara hii itawasaidia kujuwa kama wanamatatizo ya moyo au la na hivyo kuanza matibabu mapema. Asilimia kubwa ya wagonjwa tunaowapokea katika kliniki zetu baada ya kuwafanyiwa vipimo tunawakuta mioyo yao haiko katika hali nzuri. Hii inaonyesha kuwa wana matatizo ya Moyo pasipo  kujifahamu.

Imetolewa na :

Kitengo cha Uhusiano na Masoko
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
04/10/2017



Hivyo makala MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI

yaani makala yote MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/matokeo-ya-upimaji-wa-magonjwa-ya-moyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATOKEO YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNI"

Post a Comment

Loading...