Loading...
title : MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF)
link : MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF)
MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF)
Kabati aliliomba jeshi la polisi mkoani Iringa kuhakikisha wanapeleka dawati la jinsia katika shule za msingi na sekondari ili kupunguza na kumaliza kabisa tatizo la ubakaji kwa wanafunzi kwa kuwa watakuwa wazi kuzungumza wanachofanyiwa huko mitaani. Mbunge huyo alichangia kiasi cha sh. milioni moja kwa ajili ya kusaidia dawati hilo.
Kamanda wa jeshi lapolisi mkoa wa Iringa Julias Mjengi na mbunge wa viti maalum mkoani Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati wakicheza ngoma wakati wa maadhimisho ya miaka kumi tangu kuanzishwa kwa mtandao wa polisi wanawake mkoani Iringa (TPF).
Hawa ni baadhi ya wanamtandao wa polisi wanawake mkoani Iringa (TPF) wakiwa katika maadhimisho ya miaka kumi toka kuanzishwa kwa mwaka 2007.
Hivyo makala MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF)
yaani makala yote MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mbunge-kabati-atoa-shmilioni-moja-kwa.html
0 Response to "MBUNGE KABATI ATOA SH.MILIONI MOJA KWA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE MKOANI IRINGA (TPF)"
Post a Comment