Loading...
title :
link :
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Baraza la famasi nchini limewataka wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuendelea kusimamia maduka ya madawa pamoja na kuweka bajeti ya ukaguzi ili kuongeza ufanisi wa maduka hayo, ambayo yanahudumia wananchi wengi kwa ujumla.
Hayo yameelezwa leo na Msajili kutoka baraza la Famasi nchini, Elizabeth Shekalaghe alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari juu ya tuzo walizotoa kwa Halmashauri tatu zilizofanya vizuri katika usimamizi wa famasi.
"Wakurugenzi waendelee kusimamia huduma za dawa pamoja na kupanga bajeti kwa ajili ya ukaguzi hili wawez kuwa na huduma bora katika wilaya zao kwani takwimu zinaonyesha kuwa idadi kubw aya watu uanzia kupata huduma kwenye maduka ya dawa kisha kwenda hospitali"amesema Shekalaghe.
Amesema kuwa Baraza linawataka wakurugenzi kufanya vitu vitatu kwa kufanya ukaguzi katika maduka ya dawa ,kufanya vikao na kamati ya Chakula na Dawa pamoja na kuwasilisha taharifa ya utendaji wao katika baraza la famasi nchini.
Amesema katika mkutano huu wa Alat wameweza kujadili mambo mbalimbali ikiwemo namna ya kupambana na Changamoto
Msajili wa Baraza la Famasi Nchini ,Elizabeth Shekalaghe akiongea na Waandishi wa Habari juu ya tamko lao kwa wakurugenzikufuatilia mduka ya Dawa kote nchini
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nzega Mjini Philemon Magesa akizungumza na Wandishi wa habari juu ya namna walivyofanya mpaka wakaibuka washindi juu ya usimamizi wa famasi
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/na-humphrey-shao-globu-ya-jamii-baraza.html
0 Response to " "
Post a Comment